Donald Trump anampokea Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo Jumatano Februari 11, ambaye anatataka kumshawishi atoe ...
Rais wa Marekani, Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu walifanya mazungumzo katika Ikulu ya Marekani, ...
Marekani inapanga kutuma wanajeshi takriban 200 nchini Nigeria kutoa mafunzo kwa jeshi la nchi hiyo katika kupambana na ...
Inaripotiwa kwamba China imeionya Marekani kwamba kifurushi cha silaha kilichopendekezwa kwa ajili ya Taiwan kinaweza ...
Israel inashinikiza kwamba makubaliano hayo yaijumuishe Iran kusitisha urutubishwaji wa aina yoyote wa madini ya urani, ...
Donald Trump ameamuru kuwekwa ushuru mpya - kwa bidhaa zinazoingia Marekani. Rais huyo alisema nchi nyingine zina ushuru wa juu kwa bidhaa kutoka Marekani na anaamini Marekani "inatendewa isivyo sawa ...
Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema hatatishwa na vitisho vya Marekani hasa wakati huu miito ikiongezeka ya kuiwekea vikwazo Kigali kutokana na ushiriki wake katika mzozo wa Mashariki mwa DRC.
Katika hali isiyo ya kawaida, jina la Kapteni Ibrahim Traoré, kiongozi kijana wa Burkina Faso anayejitambulisha kama mpigania haki za Waafrika, limeingia katika vichwa vya habari vya dunia si kwa ...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limeeleza masikitiko yake kufuatia uamuzi wa Marekani kujiondoa rasmi katika shirika hilo, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results